tag:blogger.com,1999:blog-76530863396289422962024-03-13T06:00:47.547+03:00MCHIMBA RIZIKI The World Reporter...
Contact Mchimba Riziki..
+254715323229 Whatsapp..Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.comBlogger171125tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-41453392814575273142015-05-17T13:49:00.000+03:002015-05-17T13:49:19.617+03:00BUNGE LAGEUKA UWANJA WA MIPASHO. MAKALA
BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Kwa takriban wiki moja sasa, Bunge la Jamhuri ya Muungano limegeuzwa uwanja wa kampeni za uchaguzi na watunga sheria wetu wametumia nafasi yao kuonyesha ustadi wao katika mipasho.Ni Bunge ambalo wananchi wengi waliotaka kulifuatilia walikuwa ni wale waliotaka kusikia vichekesho na ufundi wa kuzima hoja muhimu na kuzifanya kuwa vitu visivyo na manufaa Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-80283448596418111262015-04-28T13:12:00.002+03:002015-04-28T13:12:38.115+03:00Mwana Chama Wa Al-shabab Aliyepanga Kulilipuwa Bunge La....
POLISI wanamzuilia mfanyakazi wa bunge Bwana Ali Abdulmajid baada ya ripoti ya ujasusi kumhusisha na njama ya kundi la Al-Shabaab kulipua Bunge.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo ya kutathmini hali, kundi hilo la kigaidi pia linasemekana kupanga kushambulia soko la Muthurwa, makanisa ya Nairobi Pentecostal Church, Holy Family Basilica, St Andrews PCEA, na Chuo Kikuu cha Nairobi.Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-34460582009418469322015-02-20T18:37:00.000+03:002015-02-20T18:37:04.724+03:00Picha Mbalimbali Kutoka Katika Mkutano Wa marais Wa Afrika Mashariki. Kwa hisani ya Mchimba Riziki Media
Marais Wa Afrika Mashariki Kutoka Kushoto Ni Mh.Pierre Ngurunzinza Wa Burundi,Mh.Jakaya Mrisho Kikwete Wa Tanzania, Mh.Uhuru Muigai Kenyatta Wa Kenya, Mh.Yoheri Museven Wa Uganda na Paul Kagame Wa Rwanda Leo Hii Jijini Nairobi
Rais Paul Kagame Na Hasimu Wake Rais Kikwete Na Mwenyeji Wa Rais Uhuru Wa Kenyatta Kabla ya kikao
Rais Wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta Akimkabidhi Rais Wa TanzaniaAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-6038168136730368642015-02-17T12:06:00.000+03:002015-02-17T12:06:40.055+03:00Umaarufu Huu Utaleta Majonzi Tanzania. Tunangamizwa Na Siasa Chafu Kwa Kukosa Maarifa.Kuanzia mapema mwaka jana wa 2014 chama tawala cha CCM na Msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania wameshindwa kwa pamoja kumchukulia hatua Mh.Edward Ngoyai Lowassa Aliyetangaza nia ya kugombania Urais kupitia chama tawala CCM. Mh. Lowasa ametembea nchi nzima akitoa misaada mbalimbali makanisani na misikitini pia kupiga kampeni kabla ya wakati.Kiukweli mimi ninaona hapa CCM na Mh. Lowasa Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-18579888309451312212014-12-05T20:18:00.000+03:002014-12-05T20:18:06.797+03:002017 Haitafika Bila Taji "Arsen Wenger" AnenaKocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger ana imani anaweza kuongoza vijana wake kunyakua taji la ligi kuu kabla ya kandarasi yake kuisha mwishoni wa msimu wa 2016/17.
Arsen Wenger
Imani yake ya msimu huu ilipigwa jeki hata zaidi na ushindi wao mwembamba wa 1-0 dhidi ya Southampton Jumatano usiku na hivyo kuzidi kumpa moyo licha ya kuwa wangali katika nafasi ya sita kwa alama 23, ikiwa ni Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-1495299794222928162014-12-05T19:54:00.000+03:002014-12-05T20:12:30.533+03:00Kesi Ya Uhuru Kenyatta Imetupiliwa Mbali.
Wakenya Wakionyesha Furaha Baada Ya Uhuru Kufutiwa Kesi
Habari zilizofika mapema hivi leo zinasema mwendesha mashitaka wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC Fatou Bensouda, ametupilia mbali mashitaka dhidi ya Rais wa Uhuru Kenyatta wa Kenya.
Mapema wiki hii mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC ilimpa wiki moja mwendesha mashitaka huyo kuongeza kasi ya uchunguzi ama Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-87026533310932588992014-09-06T09:45:00.001+03:002014-09-06T09:50:57.096+03:00Mwanaume Mmoja Afunga Ndoa Na Maiti..... Ni Wapi Fuatana Nami Mchimba Riziki Nikujuze<!--[if gte mso 9]>
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
MicrosoftInternetExplorer4
<![endif]-->
MWANAMUME alishangaza familia yake,
marafiki na wanakijiji alipoamua 'kufunga’ ndoa na marehemu mkewe katika kijiji
cha Kadzinuni, tarafa ya Kikambala, Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-78763936939988102632014-07-31T13:14:00.003+03:002014-07-31T13:15:45.848+03:00Gaza On Fire: Ghaza Katika Lindi La Moto Na Damu
Gaza On Fire
Utawala wa Kizayuni wa Israel leo umeendelea kudhihirisha sura yake halisi ya ugaidi, ukatili na unyama baada ya kushambulia shule nyingine ya Umoja wa Mataifa katika eneo la Jabali huko katika Ukanda wa Ghaza na kuua raia wasiopungua 20 wa Kipalestina.
Familia nyingi za Kipalestina zimekimbilia katika shule hizo za Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kulinda maisha yao mbele Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-18861890601574412652014-07-30T19:24:00.000+03:002014-07-30T19:34:20.038+03:00Hatimaye Mkenya Wa Pili Atua Ligi Kuu England.... Atashiriki Michuano Mikubwa Ya UEFA
Divork Origi Na Sakfu Ya Liverpool.
London: Hatimaye, klabu ya Liverpool imemsajili mshambuliaji wa chipukizi, Divock Origi Mkenya/Mbelgiji akitokea Klabu yake ya Lille aliyojiunga nayo akiwa na miaka 15.
Mchezaji huyo mwenye miaka 19 ameukubali mkataba wa miaka mitano lakini ataendelea kubaki kwenye klabu yake huko Ufaransa kwa mkopo katika msimu ujao kabla ya kuhamia Anfield mwaka ujaoAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-63185753375428860152014-07-30T19:00:00.000+03:002014-07-30T19:06:39.370+03:00SHUJAA ALIYEAMBUKIZWA UKIMWI KULIPWA KSH MILLIONI 653........Mwathiriwa mmoja wa bomu la 1998 atapata Sh652.5 milioni kama fidia baada ya kuambukizwa virusi vya HIV akijaribu kuwaokoa manusura katika shambulizi hilo la kigaidi.
William Maina alikuwa akichokoa vifusi vya jengo la Ubalozi wa Amerika, ambalo liliharibiwa kabisa na shambulizi hilo.
Alishuhudia mbele ya mahakama moja ya Amerika kwamba alikuwa akifanya kazi kando na ubalozi huo wakati wa Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-44678202746649776962014-07-25T11:23:00.000+03:002014-07-25T11:23:02.775+03:00Viongozi Wa Sasa Bavicha Hawana Sifa Tena Ya Kugombea.
Dar es Salaam.
John Heche Mwenyekiti Bavicha Taifa
Viongozi wote wa juu wa sasa wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) hawatagombea nafasi yoyote katika baraza hilo kutokana na umri wao kuzidi miaka 30.
Kwa mujibu wa katiba ya Bavicha, mgombea wa nafasi yoyote anatakiwa asiwe na umri wa zaidi ya miaka 30.
Mwenyekiti wa Bavicha, John Heche alisema jana kuwa yeye, Katibu Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-28358706826449114742014-07-22T20:34:00.001+03:002014-07-22T20:47:17.645+03:00Saratani Ya Koo Na Tumbo Husababishwa Na Pombe Za Kienyeji Kama Busaa.
Wazee wakifurahia Busaa Picha kwa Hisani Ya Nation Mediu Group
Wanasayansi wameitaka kuangazia unywaji busaa wakisema unachangia pakubwa ongezeko la visa vya saratani ya koo.
Ripoti hiyo inasema ingawa kinywaji hicho ni maarufu sana hapa nchini katika jamii mbalimbali utumiaji wa mahindi, mawele na mtama au mhogo ulioharibika kutengeneza busaa unachangia pakubwa katika kuwapa sumu wanywajiAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-21324795038510855582014-07-22T19:01:00.005+03:002014-07-22T19:07:40.630+03:00Mourinho Anena Juu Ya Ujio Wa Van Gaal Manchester United. Amwambia............
Kushoto Ni Jose Mourinho akimtania Kocha Man U Van Gaal Kulia.
Kocha wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho, amejitanua kifua kwamba hamwogopi mkufunzi mpya wa Manchester United, Louis Van Gaal wakati msimu mpya unapozidi kukaribia kuanza.
Wawili hao ambao ni marafiki wakubwa waliwahi kufanya kazi pamoja katika klabu ya Barcelona, Mourinho akiwa mkalimani na mwenzake kocha.
Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-70898912277959046022014-07-21T20:09:00.001+03:002014-07-21T20:09:36.235+03:00Mkenya Aliyecheza World Cup Kutua LiverpoolLiverpool inakaribia kufikia maafikiano na klabu za Southampton kumnunua beki Dejan Lovren na klabu ya Lille ili kupata saini ya mshambuliaji Mkenya Divock Origi.
Divorck Origi
Kulinganana BBC, The Reds ambao kwa wakati huu wako ziarani nchini Marekani wameripotiwa kufikia makubaliano na Lille kumsajili Origi raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Kenya kwa dau la Sh1.5 bilioni. Kwa wiki kadhaa Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-46695085105619195902014-07-21T19:33:00.002+03:002014-07-21T19:33:29.061+03:00Nilijaribu Kutoa Mimba Ya Ronaldo "Maria Dolores Dos Santos Averiro" Ni Mama Wa Cristiano Aliyasema Hayo Katika Uzinduzi Wa Kitabu Cha Historia Yake.
LISBON, Ureno
Maria Dolores Dos Santos Averiro Mama Yake Ronaldo
Mama yake mchezaji bora duniani Cristiano Ronaldo, amefichua siri kwamba alijaribu kuavya/Kutoa mimba alipokuwa akitarajia kujifungua mwanasoka huyo miaka 29 iliyopita.
Katika kitabu chake kilichozindulia siku za hivi karibuni, Dolores Aveiro anaeleza kuwa daktari wake aliyekuwa akimshughulikia wakati wa ujauzito huoAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-53134633939108462292014-07-15T19:26:00.002+03:002014-07-15T19:26:16.991+03:00Huku kombe La Dunia Likiwa Limefika tamati Basi Usikose siri Hii Aliyoambiwa Gotze Kabla ya Kuingia Kwenye Mechi Yao Ya Fainali. Ambapo Gotze Alikuwa Shujaa Wa Ujerumani.
Ujerumani Katika Picha Moja
Kocha wa Ujerumani, Joachim Loew ametoboa siri kwamba alimwambia shujaa wa fainali ya Kombe la Dunia 2014 Mario Gotze aidhihirishie dunia kuwa ni bora kuliko Lionel Messi.
Goli moja la Gotze la dakika za nyongeza ndio lilipeleka kilio Argentina huku kombe hilo likitua Ujerumani.
Na baada ya sherehe za ubingwa wa Dunia 2014, kocha wa Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-84803640438760765902014-07-09T06:41:00.000+03:002014-07-09T06:41:13.222+03:00Brazili Wanyolewa Bila Maji Wembe Uliotumika Ni Chuma Cha Ujerumani.Brazili Imeondolewa Hapo jana Katika Mechi Ya Nusu Fainali Kwa Kichapo Cha Mbwa Wa Sokoni Pale Ilipokandamizwa Mabao 7:1.
Timu Hiyo Iliyoandaa Kombe La Dunia Kwa Mbwembwe Nyingi Iliweza Kubanduliwa Na Wajerumani Usiku Wa Jana.
Umakini wa vijana wa Joachim Low ulikuwa wa kupigiwa mfano walipoiadhibu Brazil na kuwa timu ya kwanza kuwahi kushindwa kwa mabao mengi zaidi katika hatua hiyo ya nusu Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-35710534709387599782014-07-07T16:14:00.001+03:002014-07-07T16:38:44.016+03:00Angalia Hali Ilivyo Katika Jiji La Nairobi Hivi Leo 7/7/Day
Wanausalama Wakimsachi Mfuasi wa CORD Kabla Ya Kuingia Uwanjani
Vijana Wa CORD Wakiandamana Kabla Ya Mkutano Kuanza
Wanausalama Wakiwa Kila Kona Kuhakikisha Usalama Katika Uwanja Wa Uhuru Park
Kwa hapa Chini Jaribu Kuangalia Video Ya Vijana Walioandamana Kabla Ya Mkutano Wa Cord Kuanza Hii Leo.
Zaidi Ya Maafisa Usalama 15000 Waliwekwa Katika Mwa Jiji Kwa Ajili Kulinda Usalama.
Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-38559650646876478992014-07-01T20:18:00.003+03:002014-07-01T20:19:43.852+03:00Hii Ilikuwa Ni Zaidi Ya Sodoma Na Comora.... Yalisemwa Na Kiongozi Wa Nacada Kuhusiana Na Picha Kadhaa Zilizoonekana Mitandaoni Katika Mashindano Ya Rugby Kenya Iliyofanyika JumamosiMwenyekiti wa NACADA John Mututho
amekashifu vikali matukio yaliyoshuhudiwa wikendi katika Kaunti ya
Machakos na kuyataja kuwa maovu kuliko yaliyoshuhudiwa Sodoma na Gomora.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kitaifa ya
kupambana na matumizi mabaya ya pombe na dawa za kulevya (Nacada)
amekashifu vikali matukio yaliyoshuhudiwa wikendi katika Kaunti ya
Machakos na kuyataja kuwa maovu kuliko Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-19681916068819171602014-06-30T20:55:00.000+03:002014-06-30T20:55:12.456+03:00Pasta Mmoja Afukuzwa Kazi Kwa Kuendekeza Uhuni Mtaani.
Waumini wa kanisa moja la Kaunti ya Murang’a Jumapili
walipitisha hoja ya kumtimua pasta wao baada ya kutiwa rumande kwa
madai ya kufanya uhuni katika jamii.
Pasta Simon Kanyoro wa kanisa la
Revival Ministries lililoko katika Eneo bunge la Kigumo alitakiwa kwanza
kushiriki kesi zake mbili zinazomkabili mahakamani bila ya kujihusisha
na shughuli zozote za utumishi wa Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-91106629871399006162014-06-29T12:42:00.002+03:002014-06-29T12:42:51.225+03:00 KUFUNGA NI NINI? (MATHAYO 17:14-21)
Bishop Zacharia Kakobe
Katika MATHAYO 17:14-21, tunajifunza
juu ya nguvu ya kufunga. Yako mambo ambayo hayawezekani kama kuomba
hakuoanishwi na kufunga. Ni kwa sababu hii basi, tunachukua uzito mkubwa
kujifunza kwa undani kuhusu kufunga katika mfululizo wa masomo
yanayohusu jambo hili kuanzia leo. Tutaliangalia somo la leo katika
vipengele vinne:-
(1) MAANA YA KUFUNGA;
(2) UMUHIMU WA Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-66978352014337983812014-06-27T11:41:00.003+03:002014-06-27T11:41:42.695+03:00 FIFA Yalishusha Rungu La Nguvu Kwa Suarez Luis.. Hata Cheza Tena Worldcup
Luis Suarez Alipomgata giorgio-chiellin
SHIRIKISHO la soka duniani, FIFA limempiga marufuku ya mechi tisa na pia marufuku ya miezi minne straika wa Uruguay, Luis Suarez kushiriki mechi yeyote ile kwa kosa la kumng’ata beki wa Italia Giorgio Chiellini.
Kamati huru ya nidhamu ya chombo hicho ilimpata mshambuliaji huyo anayesakata soka ya kulipwa katika klabu ya Liverpool na hatia Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-42819474037308802982014-06-19T09:13:00.001+03:002014-06-19T09:13:20.448+03:00Jela: Jela Ni Mahali Kila Mtu Anaogopa Lakini Kwa Wakazi Wa Hindi Lamu Iliwabidi Wakimbilie Kutafuta Usalama Hapo Jana HALI ya taharuki ilighubika kijiji cha Hindi hapo
Jumanne baada ya uvumi kuenea kwamba watu
wasio wa kawaida walionekana wakizurura mjini
humo.
Wengi wa wakazi walilazimika kuhama majumbani
mwao na kukimbilia katika jela ya Hindi wakitafuta
usalama.
Shughuli za kibiashara
zilisitishwa kwa takriban
masaa sita huku wenye
maduka na vituo vya
mafuta wakilazimika
kufunga biashara zao kwa
kuhofia Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-88767835256869144932014-06-17T17:45:00.001+03:002014-06-17T17:45:05.368+03:00Kauli Ya Rais Kenyatta Baada Ya Mashabulizi Mfululizo LamuKauli ya Rais Kenyatta inakuja kupitia kwa
televisheni siku moja baada ya kundi hilo kukiri
kufanya mauaji yaliyotokea Mpeketoni Jumapili
usiku.
Kenyatta emesema kuwa kuna ushahidi kuonyesha
kuwa shambulizi hilo lilipangwa vyema na kwamba
wanasiasa walihusika nao.
Al Shabaab lilikiri katika taarifa kwa vyombo vya
habari kuwa ndilo lilifanya mauaji hayo Jumatatu
jioni.
Alisema kuwa ujasusi Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7653086339628942296.post-80491070386936878842014-06-16T07:46:00.001+03:002014-06-16T07:48:38.649+03:00Simanzi Kenya, Al-shabab Yashambulia Mpeketoni Lamu Watu Kadhaa Waripotiwa KuuwawaKuna Habari Ya Simanzi Iliyotokea Usiku Wa Jana.
Wanamgambo Wa Al-shabab Waliuteka Sehemu Ya Mji Wa Lamu iitwayo #Mpeketoni.
Habari Kutoka Huko Ni Kwamba Watu Wafikao 26 Wameaga Baada Ya Kushambuliwa wakiwa Hotelini.
Majamaa Wenye Risasi Walivamia Hoteli Mbili huko #Mpeketoni na Kuwaua watu hao.
Hayo Yalisemwa Na Deputy Commissioner Wa Eneo Hilo.
Poleni Sana Wakenya Na Mungu Awatie Nguvu FamiliaAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/04199594080141370029noreply@blogger.com0