Saturday, June 1, 2013

President Kenyatta Uhuru akiongea na wakenya katika siku ya madaraka day katika uwanja wa Nyayo Stadium jijini Nairobi

Tuesday, May 28, 2013

Mwanamume akamatwa na polisi kwa kosa la kufanya ngono na mbwa

Kutoka Mombasa saasa ni Limuru Mwanamume akamatwa na polisi kwa kosa la kufanya ngono na mbwa

Labda ni mwisho wa dunia umefika kwa vitendo vinavyovyanywa na binamu wa sasa.
Kweli asubuhi ilikuwa ni siku ya kushangaza sana hapa mjini Nairobi baada ya kuripotiwa
 kukamatwa kwa jamaa mmoja huko Limuru kwa kufanya unyumba na mbwa jana usiku.
Hayo yanakujia tuu kabla ya sakata la wadada 10 na ushehe kukamatwa wakifanya mapenzi na umbwa kwa kile kilichodawa kulipwa sh 3000 za kenya.huko pwani Mombasa.

Mwanaume huyo mwenye umri wa makamo aliekamatwa leo hii kwa shutuma hizi amekamatwa na yuko katika mikono ya serikali mpaka sasa..
Nae aliesulumiwa kimapenzi yaani mbwa huyo bado anasakwa ili kuweza kuthibitishwa madai haya yalitolewa na shuhuda wa tukio hilo.


Hii video kwa msaada wa Nation Television of Kenya {NTV}


Nini maoni yako kufuatia video hii je Ndoa ya binadamu na mbwa nayo yanukia?


Copyright © 2014. Mchimba Riziki- All Rights Reserved

Map

Live score