Saturday, March 23, 2013

TOURE YAYA AITIKISA MANCITY

  Yaya Toure ameishtua klabu yake ya Manchester City kwa kusema atakuwa tayari kuondoka Etihad, labda kama atapewa mkataba mwingine kabla ya Jumamosi...Nipewe mkataba mwingine, vinginevyo naondoka, alisema Toure kiungo tegemeo la Man City. 


Kiungo huyo wa Ivory Coast amekasirishwa na ukimya wa mkataba wake mpya ambapo mazungumzo yamekwama kwa muda wa miezi sita sasa.
Wakala wa Toure, Dimitri Seluk, alikiri kwa kusema: Kama atasaini mkataba mpya ndani ya siku nne au tano, hiyo sawa. Kama hilo halitatimia, hakutakuwa tena na muda wa kusubiri na tutaanza mazungumzo na klabu nyingine mara moja. 

Tunataka watu wafahamu kinachoendelea kwenye klabu ili uamuzi wake wa kuondoka kama hatapewa mkataba mwingine basi iwe wazi,alisema. Leo ni Jumanne (juzi), kama mpaka Jumamosi hakutakuwa na mazungumzo ya mkataba mpya, tutasema asante, Yaya ataondoka City Mei, alisema wakala huyo. 

    Aliongeza kwa kusema:Sidhani kama ataendelea kubaki Manchester City. Siyo sababu ya pesa, anataka kuondoka kwa sababu kadhaa ndani ya klabu. Yeye ni mchezaji tegemeo kubwa Manchester City, lakini haoni kama anaheshimika na wafanyakazi wa klabu. Roberto Mancini peke yake ndiye anamuheshimu Yaya.


Kiungo huyo wa zamani wa Timu ya Barcelona ya Hispania (29), ndiye mchezaji anayelipwa pesa nyingi.
Man City inamlipa mshahara wake kwa wiki ni Pauni 220,000 tangu atue kutoka Barcelona. 

 Lakini wakala wake Seluk anasisitiza kwa kusema kwamba hajaomba kuongeza pesa zaidi, lakini hafurahishwi na mambo yanavyokwenda ndani ya klabu. 


Kuna mambo hafurahishwi nayo, anataka kwanza yawekwe vizuri.
Kwa sasa Toure, yuko na kikiso chake cha timu ya Taifa Ivory Coast kinachocheza mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia mwaka 2014 dhidi ya Gambia mwishoni mwa wiki hii.

KILA LA HERI STARS TUPO NYUMA YENU

 Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inashuka kwenye Uwanja wa Taifa kesho kuanzia saa 9:00
 alasiri tayari kuwavaa Morocco katika mechi ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia,
zitakazofanyika mwakani nchini Brazil.
Tanzania haijawahi kucheza fainali za Kombe la Dunia zaidi ya kuishia hatua za awali, lakini kama mikakati ikiandaliwa kikamilifu, nafasi hiyo ipo na inaweza kufika mbali.
Kama ilivyo kwenye msimamo, Tanzania inashika nafasi ya pili nyuma ya Ivory Coast ikiwa na pointi tatu, ikiwa ni pointi moja nyuma ya vinara hao wa pili kwa soka Afrika.
Morocco kabla ya mchezo wa kesho ina pointi mbili baada ya sare mbili wakati Gambia ni ya mwisho ikiwa na pointi moja.
Ushindi wa timu hiyo, utafufua na kutia chachu nafasi ya Tanzania kufika mbali katika fainali hizo za Kombe la Dunia kupitia Kanda ya Afrika.
Kinachotakiwa ni kwa wachezaji kucheza kwa nguvu, ari, moyo na mshikamano kuhakikisha wanashinda mchezo huo, huku kila mmoja kwa nafasi yake akiomba dua ya kheri na mafanikio kwa Taifa Stars.
Lazima Morocco washangazwe na soka ya Tanzania. Haiwezekani kila siku Nigeria, Ghana au Cameroon kama tuliwamudu Zambia na Cameroon katika mechi za kirafiki, kwa nini leo isiwe Morocco?
Vijana wa Kim Poulsen wafahamu kuwa Watanzania wako nyuma yao kuwashangilia, na watakuwa na nguvu zaidi kwa kuwa watakuwa kwenye uwanja waliozoea.
Ni uwanja ule ule walioifunga Zambia, ni uwanja huo huo walioifunga na Cameroon, hivyo hali hizo wanazijua, sasa ni ushindi kwa Morocco. Morocco ni timu ya kawaida sana na wanafungika kama wengine.
Kinachofurahisha zaidi ni kwamba, kwanza wachezaji wetu watakuwa kwenye uwanja wa nyumbani ambao wanaweza kufanya lolote mbele ya mashabiki wao huku wakishangiliwa.
Wachezaji wetu watakuwa wanacheza katika uwanja na hali ya hewa walioizoea ambayo pia wanaweza kufanya lolote. Kumekuwa na tatizo la wachezaji wetu kucheza chini ya kiwango ama kucheza bila malengo, sasa ni wakati wa kutengeneza mipango.
Mara nyingi mipango inavurugika kutokana na kuwepo kwa hali mbaya ya hewa, kucheza kwenye baridi kama Ethiopia au kuchezea uwanja mbovu, lakini kwa Uwanja wa Taifa, Uwanja wa Uhuru, ni viwanja ambavyo si vigeni kabisa kwa wachezaji wetu.Wachezaji wetu wako nyumbani, ni nafasi ya wadau kutoa motisha kwa wachezaji ambayo ni wazi itakuwa chachu ya ushindi kwao. Lakini vilevile, isiwe wakaacha kucheza kwa nguvu kwa sababu ya kukosa chachu ya motisha


 Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inashuka kwenye Uwanja wa Taifa kesho kuanzia saa 9:00 alasiri tayari kuwavaa Morocco katika mechi ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia, zitakazofanyika mwakani nchini Brazil.
Tanzania haijawahi kucheza fainali za Kombe la Dunia zaidi ya kuishia hatua za awali, lakini kama mikakati ikiandaliwa kikamilifu, nafasi hiyo ipo na inaweza kufika mbali.
Kama ilivyo kwenye msimamo, Tanzania inashika nafasi ya pili nyuma ya Ivory Coast ikiwa na pointi tatu, ikiwa ni pointi moja nyuma ya vinara hao wa pili kwa soka Afrika.
Morocco kabla ya mchezo wa kesho ina pointi mbili baada ya sare mbili wakati Gambia ni ya mwisho ikiwa na pointi moja.
Ushindi wa timu hiyo, utafufua na kutia chachu nafasi ya Tanzania kufika mbali katika fainali hizo za Kombe la Dunia kupitia Kanda ya Afrika.
Kinachotakiwa ni kwa wachezaji kucheza kwa nguvu, ari, moyo na mshikamano kuhakikisha wanashinda mchezo huo, huku kila mmoja kwa nafasi yake akiomba dua ya kheri na mafanikio kwa Taifa Stars.
Lazima Morocco washangazwe na soka ya Tanzania. Haiwezekani kila siku Nigeria, Ghana au Cameroon kama tuliwamudu Zambia na Cameroon katika mechi za kirafiki, kwa nini leo isiwe Morocco?
Vijana wa Kim Poulsen wafahamu kuwa Watanzania wako nyuma yao kuwashangilia, na watakuwa na nguvu zaidi kwa kuwa watakuwa kwenye uwanja waliozoea.
Ni uwanja ule ule walioifunga Zambia, ni uwanja huo huo walioifunga na Cameroon, hivyo hali hizo wanazijua, sasa ni ushindi kwa Morocco. Morocco ni timu ya kawaida sana na wanafungika kama wengine.
Kinachofurahisha zaidi ni kwamba, kwanza wachezaji wetu watakuwa kwenye uwanja wa nyumbani ambao wanaweza kufanya lolote mbele ya mashabiki wao huku wakishangiliwa.
Wachezaji wetu watakuwa wanacheza katika uwanja na hali ya hewa walioizoea ambayo pia wanaweza kufanya lolote. Kumekuwa na tatizo la wachezaji wetu kucheza chini ya kiwango ama kucheza bila malengo, sasa ni wakati wa kutengeneza mipango.
Mara nyingi mipango inavurugika kutokana na kuwepo kwa hali mbaya ya hewa, kucheza kwenye baridi kama Ethiopia au kuchezea uwanja mbovu, lakini kwa Uwanja wa Taifa, Uwanja wa Uhuru, ni viwanja ambavyo si vigeni kabisa kwa wachezaji wetu.Wachezaji wetu wako nyumbani, ni nafasi ya wadau kutoa motisha kwa wachezaji ambayo ni wazi itakuwa chachu ya ushindi kwao. Lakini vilevile, isiwe wakaacha kucheza kwa nguvu kwa sababu ya kukosa chachu ya motisha

Wednesday, March 20, 2013

Why did infamous war criminal Bosco Ntaganda just surrender at a U.S. embassy?

Bosco Ntaganda at his mountain base in Kabati, Democratic Republic of Congo, in 2009.

 Bosco Ntaganda, a Rwandan national and general in the Congolese military* indicted for war crimes, a particularly bad actor who’s stirred up violence in a part of the world that has plenty of bad actors and violence, walked into the U.S. Embassy in Kigali, Rwanda, today and asked to be delivered to the International Criminal Court in the Netherlands.

 That’s according to State Department spokeswoman Victoria Nuland, who confirmed a Rwandan foreign ministry statement from earlier today. “I can confirm that Bosco Ntaganda … walked into U.S. Embassy Kigali,” she said, adding that the U.S. is “working to facilitate” Ntaganda’s request that he be “transferred” to the ICC. (This is actually trickier than it sounds for some very interesting reasons; more on this later.)

 Ntaganda’s rap sheet is very, very dark; when you think of the most horrific stories coming out of the Democratic Republic of Congo during its wars, you’re probably thinking about Ntaganda. The ICC indicted him in 2006 for, according to a summary by Human Rights Watch, “allegedly committing war crimes and crimes against humanity in northeastern Congo in 2002 and 2003, including recruiting and using child soldiers, murder, rape and sexual slavery, and persecution.”

 Since 2006, Ntaganda has been a major player in Central Africa, a powerful militia leader who allegedly had a hand in such enterprises as smuggling and the illicit “conflict minerals” trade. He’s been accused of running his corner of eastern Congo as a mafia-style fiefdom. Most recently, he helped lead a Congolese rebel movement called M23 that, this fall, briefly seized the city of Goma.

 The big question: Why would someone so powerful voluntarily give himself up to the ICC, which is likely to sentence him to many years in jail? We don’t know the answer right now.Maybe we’ll find out later today, maybe not for months, maybe not forever. But here, if for no other reason than to help understand the dynamics at play, are some of the theories being tossed around by Central Africa watchers. To be clear, these are just theories, but worth considering.

 1) Ntaganda “lost some of his powerful backers in Rwanda,” suggests Morehouse College professor Laura Seay, referring to long-held suspicions (particularly within the United Nations) that some senior elements in the Rwandan government supported Ntaganda as a way to exert their influence in neighboring Congo. Perhaps he “decided to sell them out,” even if that meant serving time himself.

 2) Perhaps Ntaganda’s sponsors, particularly any hypothetical sponsors within the Rwandan government, pushed him to turn himself in. The Atlantic’s Armin Rosen offers a version of this theory, suggesting that Rwanda may have given Ntaganda an ultimatum: Turn yourself in to the ICC or else. In this thinking, his sponsors may have found that he had outlived his usefulness.

 3) Here’s the theory that appears most compelling as of this moment: Perhaps Ntaganda thought his days in Central Africa were numbered and saw surrendering to the ICC as his best route to safety. Speculation is so far focusing on his possible Rwandan sponsors giving him up, but it’s worth noting that his M23 group split recently. Ntaganda’s faction of M23 suffered a major defeat just two days ago, sending him fleeing. A representative of the rival M23 faction pledged “we will go after him.” Rwanda, meanwhile, arrested another senior figure in M23, putting Ntaganda between two very unattractive options.

 4) A less-compelling theory is that Ntaganda arranged some sort of deal with the ICC in which he believed his capture was imminent and that he could get a more sympathetic trial if he gave himself up. If this had occurred, presumably whoever he negotiated with would tell him where to surrender. The U.S. Embassy would be a bad place to do this, given that the U.S. is an ally of Rwanda and is not an ICC signatory, making it unlikely but plausible that the embassy would refuse to take him.

  An earlier version of this post described Ntaganda as a “Rwandan general.” A number of readers, understandably, took this as implying that Ntaganda is a general in the Rwandan military. He is not; he is a Rwandan national who also served, presumably until he led a rebellion in April, as a general in the Congolese military. I regret causing any confusing.

KORTINI LEO KWA AJILI YA KESI KUMPINGA UHURU

Don't comment on poll petition, CJ warns

 
From left: Supreme Court Judges Njoki Ndungu, Jackton Ojwang, Philip Tunoi, Willy Mutunga, Mohamed Ibrahim and Smokin Wanjala during the mention of presidential election petitions at the Supreme Court on March 20, 2013. BILLY MUTAI
From left: Supreme Court Judges Njoki Ndungu, Jackton Ojwang, Philip Tunoi, Willy Mutunga, Mohamed Ibrahim and Smokin Wanjala during the mention of presidential election petitions at the Supreme Court on March 20, 2013. BILLY MUTAI  

By Lebahati Ngotee
 
The Supreme Court has directed parties to the presidential election petitions not to prosecute the case outside court.
Chief Justice Willy Mutunga said the Supreme Court had taken charge of the matter and the merits or demerits of the suit can only be canvassed in court.
Dr Mutunga, the President of the Supreme Court, directed lawyers to the cases to advise their clients on the consequences of commenting on a matter before the court.
He urged the media to inform the public on court proceedings but to do it impartially and fairly.
Dr Mutunga's warning comes days after President-elect Uhuru Kenyatta and Prime Minister Raila Odinga's exchange over the petition.
He said he garnered 5.7 million votes against Mr Kenyatta’s 4.5 million votes, but Mr Kenyatta was declared the winner prompting him to move to the Supreme Court to contest the outcome.
However, the PM did not explain how he arrived at the figures.
And speaking on Tuesday, Mr Kenyatta asked the Raila Odinga's Coalition for Reforms and Democracy (Cord) to stop inciting Kenyans over the petition challenging his election.
Mr Kenyatta, who did not mention Mr Odinga by name, said: “We are ready for the verdict but we cannot just wait. What we are doing is preparing ourselves so that when the outcome is in our favour we continue with our jobs."

Sunday, March 17, 2013

IEBC VS CORD LAYERS


CORD vs IEBC: Timu ya wanasheria kujiandaa kwa ajili ya vita

Umoja wa Mageuzi na Demokrasia (CORD) imeteua jopo ya wanasheria wa juu ambao watajaribu kugeuza ushindi Uhuru Kenyatta katika Mahakama Kuu.Hayo yatafanyika baadae mwezi huu march 24 na 25 Nairobi..
 George Oraro
laini lililosemwa  kisiasa mwanasheria Oraro ni mtu nyuma rasimu halisi ya dua. Yeye anajulikana kwa kuweka ya sideshows kisiasa katika kesi yake tu kushughulika na ukweli na sheria.
Ni mkakati huu kwamba alimwezeshana kwa ODM luminary Henry Kosgey kushinda kesi mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya mwaka 2011. mahakama huru Bw Kosgey katika hatua ya awali ya kesi bila kutenda kwake mahakamani. Oraro ni mbunifu kwa ajili ya utunzaji tata na high profile ya kibiashara na hata kesi ya jinai.

 Mutula Kilonzo
Sasa Jina ni Makueni Seneta mteule, alikuwa mbunge kwa Mbooni katika bunge lililopita. Mutula, alichukulia kwanza shahada sheria kutoka Dar es Salaam ni moja ya mawakili wakuu wa kisheria katika nchi ya Kenya. Akajenga kazi yake ya kisheria kwa kuchukua kesi kubwa kutoka kwa serikali wakati wa utawala wa Kanu.



 Amos Wako
                   Yeye ni Mwanasheria Mkuu wa haraka. na sasa ni Busia seneta mteule. Wako aliwahi kuwa AG kwa zaidi ya miaka 20 na kabla ya hapo alikuwa akishiriki kikamilifu katika kampeni za haki za binadamu.





 James Orengo
Kwa sasa ni Siaya ni Seneta mteule na hapo zamani alikuwa ni mbunge wa Ugenya. Yeye bado anatumikia kama Waziri Ardhi.
Orengo ana kazi ya muda mrefu katika siasa na mapambano kwa ajili ya mageuzi ambayo kumtia kwenye kozi ya mgongano na serikali ya Kanu tangu miaka ya 1990.
 Katika 2002 Orengo pia alikuwa mgombea wa urais.



NAMWAMBA
 Ni waziri wa michezo na buradani na pia ni Bundalangi mbunge mteule. Yeye alitetea kiti ambayo yeye kwanza alishinda katika mwaka wa 2007. Kabla ya kujiunga na siasa Namwamba aliwahi kuwa katika mazoezi ya binafsi katika sheria. Hivi sasa ni moja ya watetezi wa kazi zaidi ya Raila na Alliance Cord.

 Ochieng Oduor
Pia ni mmoja wa wanasheria maarufu nchini Kenya Ochieng Oduor.Pia anashiriki katika masuala ya kibiashara pamoja na katiba.

 IEBC TIMU

Paulo Nyamodi
Paulo Nyamodi ni mmoja wa wanasheria katika bwawa ambayo imekuwa anawakilisha IEBC katika dua mbalimbali. Yeye ni mshishiriki katika madai ya kiraia.

 Kamau Karori
Karori alilazwa kama wakili katika 1996. Yeye ni mshirika katika Advocates Iseme, Kamau & Maema Mfawidhi wa Idara ya Madai. Karori amekuwa ashiriki katika migogoro mbalimbali.Yeye pia anaufanisi mkubwa katika kibiashara na ni mmoja wa wanasheria wanaofanya kazi mara kwa mara kwa IEBC. Yeye ni mwanachama wa Taasisi ya Chartered ya Arbitrators na Certified Public Katibu

  Ahmednassir Abdulahi
Sasa kamishina Tume ya Huduma (JSC), Ahmednassir ni mmoja wa wanasheria maarufu nchini Kenya. Yeye ni maarufu kwa uwazi akizungumza akili yake na kwa ubishi wa kisiasa. Yeye ni mshirika katika kampuni ya Advocates Ahmednassir 

Mohamed Nyaoga
Nyaoga ni mpenzi wa kusimamia Mohamed Mungai Advocates kampuni ya sheria  amabayo wanashiriki na mwenzake Mwanasheria Mkuu wa Serikali Githu Muigai
Nyaoga pia amekuwa akishiriki katika kesi mbalimbali. Kazi yake kubwa ni biashara na kesi za uhalifu kama na masuala ya kikatiba.

 Nani Mungai
Yeye pia ni mmoja wa wanasheria juu mkataba na IEBC kushughulikia kazi zake za kisheria hasa mahakama masuala na dua. Yeye ni afisa mwandamizi katika MMC Advocates Afrika. Yeye ni mwanachama wa Tume ya Kimataifa ya Wanazuoni (ICC) Kenya.

 Aurelio Rebelo
mwanasheria na mwanasiasa wa majira. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni yake Aurelio Advocates Rebelo. Rebelo amekuwa akishiriki katikakesionyingi ya jinai na madai. Kisiasa aligombea kiti cha ubunge la Westlands katika 2007 lakini hawakufanya hivyo.

Copyright © 2014. Mchimba Riziki- All Rights Reserved

Map

Live score