Sunday, May 5, 2013

Ujumbe wa M23 unanipa Wasiwasi sana..Kuhusiana na Kilichotokea leo hii Arusha Olasiti

Watanzania tuangalie kwa JICHO PEVU ujumbe huu wa M23 wasije wakatumaliza....
Tusiwe Kenya Na Al-shabab kwani nao Al-shabab nao waliotoa ujembe kama huu huu kwa serkali ya Kenya lakini hawakuskia...
Nasi tusisubiri tatizo kuwa kubwa hapana uchunguzi wa haraka unahitajika....
Wananchi wanapaswa kutoa ushirikiano wanguvu kwa polisi katika sakata hili ili kubaini waliotekeleze shambulizi hili la kigaidi....

Ujumbe huo unanipa wasiwasi niendapo na nikaapo kwani ni ujumbe mzito sana sio ujumbe wa kupokea kimzaha mzaha... bado nakumbuka ujumbe huo ulioandikwa kwenye Twitter...
ujumbe huo unasomeka hivi

@Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo.Usidanganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali mnakuja kuweka mafuta kwenye moto
Picture
Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni hivi majuzi kuhusu Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao.

Ni hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC ‏@m23congordc 16h 
@ Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto 

 MAJIBIZANO  YAO  NA  WAZIRI  MEMBE

Picture
Picture
Picha za majeruhi walio jeruhiwa katika kilichoaminika ni Bomu katika mji wa Arusha Kanisa la Olasiti


Poleni sana watanzania mliojeruhiwa na mungu awe pamoja nanyi mliopoteza ndugu zenu....

0 maoni:


Copyright © 2014. Mchimba Riziki- All Rights Reserved

Map

Live score