Saturday, March 16, 2013

CORD YAFIKISHA KESI YAO LEO HII MAHAKAMA KUPINGA USHINDI WA UHURU KENYATTA

Nairobi, Kenya:

CORD’s lead lawyer George Oraro is confident of a strong case after filing a petition contesting Uhuru Kenyatta’s declaration as the president elect.
Oraro said Prime Minister Raila Odinga is the petitioner in the case while Independent Electoral and Boundaries Comission (IEBC), Isaack Hassan(IEBC Chair), President elect Uhuru Kenyatta and deputy president elect William Ruto are the respondents.
Hassan is the returning officer of the presidential results.
Raila accuses IEBC of negligence and failure to conduct free and fair elections in the March 4 elections.
Addressing a press conference on Saturday, the PM said they have enough evidence to challenge IEBC results.
“I am not challenging the outcome of the IEBC results because I want to be declared President but rather let the will of the people prevail. We are going to court today. We have enough evidence”, Raila said.

Sunday, March 10, 2013

UHURU MWOIGAE KENYATTA NDIE RAIS WA KWANZA CHINI YA KATIBA MPYA YA KENYA ILIYOITHINISHWA 2010

Rais Uhuru Mwoigae Kinyatta ndie mshindi wa kiti hicho mjue vizuri Uhuru ni naini katika medali za kisiasa.
Mh.Uhuru alizaliwa tarehe 26 october 1961. Yeye katika serikali iliyopita alikuwa ni makamu Waziri mkuu wa kenya.Katika  kupitia chama cha serikali hiyo iliyoingia madarakani 2008 Uhuru alikuwa pia ni Mp wa Gatundu South unity.

Uhuru ni mtoto wa mwaasisi wa nchi hii ya Kenya hayati Jommo Kenyatta aliyekuwa Rais wa jamhuri ya Kenya 1964-1978. Huyu Kenyatta ametokea katika kabila kubwa nchini Kenya la wakikuyu.
Uhuru alisoma shue moja nchini Kenya St.Mary,s school na baadaye kuondoka na kwenda kusomea siasa na utawala nchini Marekani katika chuo cha Amherest College.

Aliwahi kuteuliwa kama mbunge mteule na aliekuwa Rais wa pili Arap Moi mnamo mwaka 2001 na kufanya waziri katika kipindi hicho kifupi na baadae akawani urais kupitia chama cha KANU 2002 na alishindwa kwa kupata kura asilimia 30% tu na hapo alieshinda ni Rais aliepita mh.Mwai Kibaki..

Kenyatta alikuwa waziri wa finance mwaka 2009-2012. Pia Rais huyu mteule wa Kenya anashutuma ya kesi ya ICC kuhusiana na fujo na rabsha zilizotokea hapa Kenya mwaka wa 2007 na 2008.
Rais Uhuru aliithinishwa hivi janakuwa yeye ndie rais wa Nne na Rais wa kwanza chini ya Katiba mpya iliyoithinishwa na Wakenya mnamo mwaka 2010.




VUNJA MBAVU NA KUHUSU UCHAGUZI KENYA

MBIO ZA NYIKA HUISHIA UKINGONI NAE JAMAA RAO RAUNDI HII KAISHIA UKINGONI WAKATI UHURUTO WANAISHI WAPI ?? STATE HOURSE
BAADA YA MWANZAKE KUSHINDWA JAMAA SASA ANASHANGILIA???? AAAAA
               "KUMBE HASIRA ZA MKISI NI FURAHA KWA MVUVI"
POLENI KWA WALE WOTE WALIOBEBA MAJUKUMU HAYA PASIPO HATA MSAADA NA SHUKRUNI.....DA MASWALI MINGI YALIULZWA SANA.....
"KUMBE ALIYE JUU MNGOJE CHINI KARIBUNI TUENDELEE NA JEMBE LA MKONO"

Big up Munene



Copyright © 2014. Mchimba Riziki- All Rights Reserved

Map

Live score