Thursday, April 25, 2013

UHURU ATANGAZA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI

Rais wakenya mh.Uhuru muigae Kenyatta kuanzia juzi alianza kulitangaza baraza la mawaziri.
Rais pamoja na makamu wake Mh.Ruto wamekuwa wanatumia mtindo tofauti kjuwatafuta mawaziri...
Wawili hao wameweza kuwateua mawaziri 16 mpaka leo....
Wizara mbili bado hazijapata watumishi wake.ambao nao wanatafutwa kwa uleule utaratibu wa awamu..

Mawiziri na wabunge wa zamani walioshindwa katika uchaguzi uliofanyika march nao wamejumuishwa katika baraza hilo.
 
BARAZA HILO NI KAMA IFUATAVYO
Felix Kosgey (Agriculture, Livestock and Fisheries


Henry K. Rotich (The National Treasury).
Dr Fred Matiangi (Information, Communication and Technology (ICT).
James Wainaina Macharia (Health).
Amb Amina Mohamed (Foreign Affairs) 

Najib Balala (Mining) 

Charity Ngilu (Lands, Housing and Urban Development) 

Dr Hassan Wario (Sports, Culture and Arts). 

Ann Waiguru (Devolution and Planning) 
Davis Chirchir (Energy and Petroleum) 

Adan Mohammed (Industrialisation) 

Eng Michael Kamau (Transport and Infrastructure)

Phyllis Chepkosgey (East African affairs, Commerce and Tourism).


Prof Jacob Kaimenyi (Education) 
.
Prof Judy Wakhungu (Environment Water and Natural Resources)

0 maoni:


Copyright © 2014. Mchimba Riziki- All Rights Reserved

Map

Live score