Saturday, April 12, 2014

FABIANSK AIOKOA ARSENAL NDANI YA WEMBELAY.. AKOA PENALTI MBILI

Yaya Sanago Mshambuliaji wa Arsenal
Per Akifunga Goli 
 Timu Ya Arsenal kutoka jiji London iliweza kuibandua timu ya Wigan kwa njia ya matuta baada ya mchezo ho kuchezwa kwa dakika 120.
Dakika 90 haikuweza kuamua hatima ya mchezo huo uliochezwa ndani ya uwanja mkubwa wa England.Mechi hiyo ilikwenda sare katika kipindi cha kwanza na katika kipindi cha pili goli la penalti iliyofungwa na Jordi Gomez kwa njia penalti katika dakika ya 68.
Katika ya 82 Per mertesekar alizawazisha matokeo yakawa moja moja.
Wenger Akijutia makosa Yaliyofanywa na Wachezaji Wake

Baada ya mda wa kawaida kuisha refa wa mechi hiyo aliongeza dakika 30 ambapo timu hizo zilitoka sare ya 1:1 ...
Penalti zilikuwa hivi:
Gary Caldwell
0 - 1Mikel Arteta
Jack Collison
0 - 2Kim Kaellstroem
Jean Beausejour
1 - 3Olivier Giroud
James McArthur
2 - 4Santiago Cazorla

0 maoni:


Copyright © 2014. Mchimba Riziki- All Rights Reserved

Map

Live score