Friday, June 13, 2014

Jela Miaka Mitatu Kosa Ni Kufanya Mapenzi Na Godoro.

Mpenziwe Edwin Tobergta
Ohio, USA:
Jamaa mmoja nchini Marekani ametupwa korokoroni kwa kufanya tendo la ndoa na Godoro, inadaiwa kwamba sii Mara ya kwanza kwa nchemba huyo kufanya hivyo.

Edwin Tobergta, mwenye miaka 35,anahistoria ndefu kuhusishwa  kufanya mapenzi na godoro lake kila mara. Inadaiwa kuwa hata mwaka jana alifungwa jela kwa kosa la kufanya mapenzi na godoro lake mbele ya watoto.

Alifunguliwa mashitaka na watu anaoishi nao na alifungwa miezi kumi na moja.

Lakini Tobergta, aliyevaa T-sheti yenye maneno haya alipokamatwa.
"I'm out of my mind, please leave a message" 

Edwin alikamatwa siku ya jumatano kwa kosa la kufanya mapenzi na godoro lake kwenye barabara ya ya magari ya Hamilton, Ohio.

0 maoni:


Copyright © 2014. Mchimba Riziki- All Rights Reserved

Map

Live score