|
Matokeo yalivyo |
Kombe la Dunia limeendelea leo usiku wakati mechi moja imekamilika mda mchache uliopita.
Timu zilizokuwa kibaruani leo hii ni Mexico Vs Cameroon.Timu zote zimecheza kwa kukamiana sasa ambapo zilitoka sare kipindi cha kwanza.
Katika kipindi cha pili dakika ya 69 Mexico walipata bao la kuongoza. Timu zote zilicheza mchezo wa kusoma mda mrefu. Hadi kipindi cha pili ama dakika tisini yakiisha ni Mexico 1:0 Cameroon.
Kwa matokeo hayo basi yanaacha msimamo wa wa Kundi A iki hivi
1. Brazil Pointi Tatu Na Mabao Matatu
2. Mexico pointi tatu na bao moja
3. Cameroon hawana pointi wakidaiwa goli moja na
4. Crotia ni ya nne ikiwa haina pointi yoyote ile ikidaiwa magoli mawili.
|
Kocha Wa Mexico |
|
Alex Song Akipambana na Washambuliaji wa Mexico |
|
Mashabiki wa Mexico |
|
Wachezaji wa sub wa Mexico Wakishangiilia goli Hernands yumo |
|
Mashabiki wa Mexico Wakiisapoti timu yao |
|
Mabeki wa Cameroon Wakifanya kazi ya ziada |
|
Alex Song Akipambana |
|
Mshambuliaji wa Mexico akikaza msuli |
|
Mashabiki wa Cameroon nao wakishangilia timu yao |
|
Mabeki Wa Cameroon Wakimzuia Mshambuliaji wa Mexico |
|
Song Kazini |
|
Mshambuliaji Giovan akilalamika |
|
Samuel Etoo Akipiga shuti |
|
Marudio Ya Goli lililokataliwa na refa |
|
Mshambuliaji wa Mexico akijaribu kumtoka beki wa cameroon |
0 maoni:
Post a Comment